Friday, April 3rd, 2009

KILIMO CHA NGANO MAKETE.

 

Kilimo cha ngano Wilayani Makete kimepamba moto na kusababisha kuzorota kwa mahudhurio ya wanachama kwenye vikao vya PIUMA.

 

Akizungumza Katibu Mkuu wa PIUMA Anna Mwinuka kwa njia ya simu na baadhi ya wanachama wa PIUMA ili kujua nini tatizo la kutofika kwenye vikao.

 

Wanachama hao walisema kuwa kwa sasa wametingwa na kilimo cha ngano ndio maana wanashindwa kufika kwenye vikao.

 

Waliendelea kusema kuwa”  kwa sababu kilimo hiki ni cha muda mfupi na tunakimbizana na mvua ndio maana tunashindwa kufika kwenye vikao kwa muda mwafaka. Lakini waliahidi kuwa mara baada ya kumaliza kulima wataanza kuja kwenye vikao.

 

Wakulima wa kijiji cha Bulongwa

 

 

 

Wanafunzi wa shule ya Msingi Bulongwa wakilima shamba lao la shule.

 

 

 

 

 

Witness.

 

 

Leave a Reply