About

PIMA UISHI KWA MATUMAINI (PIUMA)

English version to follow.

 

PIUMA ni shirika  lisilokuwa la kiserikali linaloendeshwa kwa misingi ya Kutopata faida.

 

 

 

Shirika hili limeanza tangu mwaka 23/4/2005 likiwa na wanachama 7 na mpaka sasa shirika hili lina wanachama 173.

 

Mategemeo ya  shirika hili ni kuleta ushawishi wa kwenda kupima kwa hiari ili wananchi waondoe wasiwasi wao juu ya afya zao na kuleta nguvu ya kuishi kwa matumaini.

 

Malengo na madhumuni ya PIUMA.

  • Kutoa elimu ya UKIMWI kw ajamii.
  • Kuelimisha jamii jinsi ya kuishi kwa matumaini ili kupunguza maambukizi.
  • Kuhamasisha kupima kwa hiari badala ya kusubiri kuugua.
  • Kuhakikisha haki za waathirika wa UKIMWI zinapatikana na jamii haiwatengi na kuwanyanyapaa.
  • Kusaidia huduma ya wagonjwa majumbani n.k. (HBC)
  • Mobile VCT
  • Kushiriki katika  kutokomeza tatizo la UFISADI katik mapambano dhidi ya UKIMWI na jamii kwa ujumla.

 

Na kazi hizi zote zinafanywa kwa kujitolea na wanachama wa PIUMA.

 

Mwaka 2007 wakati wa kampeni ya Rais Jakaya Kikwete ya upimaji wa VVU kwa hiari, PIUMA kama NGO isiyokuwa ya Kiserikali iliongoza kwa upimaji, ilipima katika Tarafa mbili Bulongwa na Magoma, kati ya NGOs zote zilizopo Wilayani Makete.

Jumla ya watu waliopimwa kuanzia mwezi wa saba mpaka wakati wa kuisha kampeni ni kama ifuatavyo hapa chini baada ya tafsiri ya kiingereza.

 

 

PIMA UISHI KWA MATUMAINI (PIUMA)

Test and Live with Hope

 

PIUMA is a non-profit, non-governmental organization (NGO), which was founded under the Non-Governmental Organizations Act number 24 of 2002.

 

The organization was founded with seven members, on April 23rd, 2005.  By 2008, the organization has grown to include 173 members.

 

PIUMA’s fundamental intention is to raise awareness of HIV and testing in order to improve the health condition of the people living in Makete District, Tanzania.

 

The following are PIUMA’s goals:

-   To provide education on HIV/AIDS.

-   To educate the community about how to live with hope so as to reduce further infection.

-   To promote voluntary testing before getting infected.

-   To make sure that people living with HIV and the community know their rights so as to eliminate stigma.

-   To conduct mobile Voluntary Counseling and Testing in villages without health services.

-   To fully participate in the eradication of corruption and bureaucratic inaction in the fight against the HIV/AIDS pandemic.

All of the above duties must be performed by PIUMA members.

 

In 2007, during the presidential voluntary testing campaign, PIUMA as an NGO took an active role in testing in the areas of Bulongwa and Magoma.  PIUMA took on this duty regardless of other NGOs present in the Makete District.

LEADERSHIP :

PIUMA leader are drawn from  people living with HIV/AIDS (PLWHA).

Current PIUMA leader  are as follows:

1.CHAIRMAN:MR KABUYU KYANDO KAMBANYUMA.

2.GENERAL SECRETARY:MS ANNA  MWINUKA.

3.TRESSURER:MR JOHN NYIVAHA.

PIUMA STAFF:

1.MR JUMA NZIGE.VCT in charge/Ag executive officer.

2.MS POTANIA MFUSE.VCT nurse.

3.MS WITNESS NGUMBA.Typist.

 Here is the data of those who underwent voluntary testing during the presidential campaign:

 

MOBILE VCT REPORT  JULY- DECEMBER-2007

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

VILLAGE

TESTED PEOPLE

POSTIVE

NEGATIVE

 

 

Total

M

F

Total

M

F

Total

M

F

 

IMEHE

41

14

27

6

1

5

35

13

22

 

UNYANGALA

26

9

17

4

3

1

22

6

16

 

UTENGULE

13

4

9

2

1

1

11

3

8

 

KILANJI

54

40

14

12

9

3

42

31

11

 

MADIHANI

19

14

5

2

2

0

17

12

5

 

BULONGWA

107

 

 

17

 

 

90

 

 

 

MAKWARANGA

91

32

59

8

5

3

83

27

56

 

UGANGA

75

33

42

10

6

4

65

27

38

 

LUWUMBU

88

41

47

21

10

11

67

31

36

 

LUGAO

41

17

24

4

1

3

37

16

21

 

MBANGA

77

34

43

11

7

4

66

27

39

 

USILILO

51

18

33

6

1

5

45

17

28

 

UNENAMWA

47

17

30

3

2

1

44

15

29

 

IDENDE

47

17

30

4

2

2

43

15

28

 

MAFIGA

48

24

24

15

9

6

33

15

18

 

IYOKA

38

15

23

5

3

2

33

12

21

 

ILOLO/UTANZIWA

161

44

117

33

11

22

128

33

95

 

MISIWA/MAKEVE

63

23

40

8

2

6

55

21

34

 

INIHO

67

37

30

9

2

7

58

35

23

 

MWAKAUTA

83

31

52

5

2

3

78

29

49

 

HIMA VCT CENTER

161

93

68

54

27

27

107

66

41

 

LUMAGE

46

17

29

6

3

3

40

14

26

 

IPELELE

23

9

14

4

1

3

19

8

11

 

UNYANGOGO

167

61

106

14

7

7

153

54

99

 

MWAKAVUTA SECO

178

99

79

1

0

1

177

99

78

 

KIDOPE

165

60

105

16

11

5

149

49

100

 

UBILUKO

31

16

15

2

0

2

29

16

13

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Total

2008

819

1082

282

128

137

1726

691

945

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Makao makuu ya PIUMA yako katika kijiji cha Bulongwa, S. L. P 86, Makete, Iringa, Tanzania.

The headquarters of PIUMA is located in the village of Bulongwa, P.O. Box 86, Makete, Iringa, Tanzania.